Afya Ya Akili Na Ustawi Wa Ndoa na Samwel Molel

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplAfya Ya Akili Na Ustawi Wa Ndoa na Samwel Molel

Afya Ya Akili Na Ustawi Wa Ndoa.

Afya Ya Akili Na Utawi Wa Ndoa Na Samwel Molel

Afya ya akili: Ni hali ya ubongo wako kung'amua mambo mbalimbali yanayohusisha kufikiri, hisia, maamuzi, kumbukumbu na matendo yako. Kuona na kutenda ipasavyo. Kuwa na Afya ya akili siyo kigezo cha mtu kutokuwa na matatizo au shida ya akili au ukosefu wa magonjwa ya akili. Kuwa na afya mbaya ya akili siyo 
lazima kuwa kichaa, unaweza kuwa katika utimilifu wa akili na bado afya yako ya akili ikawa na shida. ANGALIZO: Linda afya yako ya akili, ilinde kama mboni ya jicho 
lako. Ubongo wako ukichoka kwa sababu ya msongo wa mawazo, hutaweza kufanya jambo lolote la maana. Akili ni chombo cha mawasiliano kati ya ubongo wako roho na nafsi yako. Akili huwasiliana na ubongo kupitia nguvu ya fikra.

More Information
Seller SAMWELBOOKSHOP
Author Samwel Molel
Good Read Yes
Total Pages 64
Publisher Malik
Write Your Own Review
You're reviewing:Afya Ya Akili Na Ustawi Wa Ndoa na Samwel Molel
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.