Athari Hasi za Migogoro ya Ndoa Kwa Watoto na Mchg Dkt. Enock E. Mlyuka
TZS 3,000.00
In stock
SKU
Athari Hasi za Migogoro
Ndoa nyingi siku hizi zina migogoro mikubwa na kusababisha upotoshwaji wa maana halisi ya ndoa.
Migogoro ya ndoa mara nyingi huleta athari hasi kwa watoto, watoto ni binadamu wenye hisia na fikira zao huishia kwa kile wanachokiona na kukisikia, hivyo basi migogoro ya ndoa huwaathiri sana watoto katika ndoa husika.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or