Watumishi wa ndani by Rev Dr Enock Mlyuka
TZS 3,000.00
In stock
SKU
Spl Watumishi wa ndani by Rev Dr Enock Mlyuka
fahamu namna ya kuishi na watumishi wa ndani
Watumishi wa ndani ni watu wa muhimu sanaa kwenyee nyumba au makazi yetu kwani ndio wanaotunza familia zetu kwa umakini na usafi wa hali ya juu, lakini pia ni watu ambao hawachukuliwi maanani au ni watu ambao hawawekwi karibu kwa upendo na maelewano.Vyote hivyo watumishi wa ndani wanavihitaji kama watu wengine na endapo ukawatunza na kuwajali na wao wanajisikia furaha na amani kwani nao wanaona wapo mikono salama kwenye familia inayomjali sanaa.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or