Fahari ya Sadaka by Dr A Mmanyi
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplFahari ya Sadaka by Dr A Mmanyi
Fahari Ya Sadaka
Kitabu cha Mwanzo kinaanza na maneno “Hapo
mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi”. Ukitaka
kutoa muktadha wa Kaini na Habili hapo ndipo mahali
sahihi pakuanzia. Hapakuwa na matukio mengi sana
yaliyokuwa tayari yametokea ulimwenguni wakati
habari hii inaandikwa. Kaini na Habili walikuwa
watoto wa kiume wa kwanza wa wanadamu wa
kwanza kabisa Adamu na Eva. Hakuna tashwishwi
kuwa watoto hawa walilelewa katika mazingira ya
kumjua Mungu.
Seller | DRMMANYIBOOKSTORE |
---|---|
Author | Dr Allyson M Mmanyi |
Total Pages | 76 |
Publisher | Aims (2020) Press |
Write Your Own Review