Iponye Ndoa Yako na Rev. Dr. Enock M. Kagya
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplIponye Ndoa Yako na Rev. Dr. Enock M. Kagya
Kwa kupeleka ujumbe huu tuliyopewa popote tunapowezeshwa, katika semina mbali mbali tunapokaribishwa kwenye "kitchen parties" na kwenye "bag parties" , wanandoa wengi wameulizia kama kuna kitini ya hayo waliyojifunza kwa mara ya kwanza maishani mawo. "Hii ndiyo hali iliyonihimiza kuandika kitabu hiki" - Mch. Dr. Enock M. Kagya. Mchungaji Dr. Enock M. Kagya ameoa mke mmoja, Christina na ndoa yao ina miaka arubaini na tano sasa!
Seller | revdrenockmkagyabookstore |
---|---|
Author | Rev. Dr. Enock M. Kagya |
Good Read | Yes |
Total Pages | 111 |
Publisher | Rev. Dr. Enock M. Kagya |
Write Your Own Review