Jahazi Na Mchg Enock E Mlyuka
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplJahazi By Rev Enock E Mlyuka
Jahazi By Rev Enock E Mlyuka
Pamoja na kwamba sisi sote tuwanadamu tulioumbwa kwa mfano wa Mungu,hata hivyo kila mwanadamu ana tabia na hisia zake za kipekee zinazomtambulisha kuwa yeye ni mtu wa aina gani.
Tabia na hisia hizo za kipekee huitwa Haiba kila mwanadamu ameumbwa akiwa na mielekeo fulani,uwezo na udhaifu wa asili wa aina mbalimbali.Baadhi ya watu wamezaliwa wakiwa na mielekeo ya ucheshi, upole, ukali,ukimya, uzungumzaji na kadhalika.Haiba huchangia tofauti ya mitazamo,ufahamu na kuathiri jinsi ya kutenda.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|---|
Author | Rev Enock E Mlyuka |
Total Pages | 200 |
Publisher | Win In Life General Printing Services |
Write Your Own Review