Jitambue Wewe Ni Nani na Mchg Dkt. Enock E. Mlyuka
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SpJitambue Wewe Ni Nani na Mchg Dkt. Enock E. Mlyuka
Ni muhimu sana kujitambua au kujua wewe una haiba gani na vilevile kujua haiba za watu wengine ili tuweze kuepuka migogoro mbalimbali katika jamii.
Kila mtu ameumbwa na haiba tofautitofauti, kutokufahamu haiba ya mtu ni chanzo cha migogoro mbalimbali katika familia.Kuna aina kuu mbili za haiba ya watu yaani Introverts na Extroverts, Lakini aina hizi zote mbili zimegawanyika katika makundimakundi.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or
We found other products you might like!