Kizazi cha Nyanseme (Sehemu ya Tano) na Melick July
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplKIZAZI CHA NYANSEME(Sehemu ya tano)
Nyanseme ni jina la ambaye Mzee aliwahi kuwa kama ambavyo sinema hii inaigizwa,ni stori ya kweli na ilitokea na mhusika mwenyewe aliitwa kwa jina hili hili la Melick Nyanseme.
Mzee Nyanseme alianza maisha na mke mkubwa,lakini bahati mbaya mpaka uzee unawakuta hawakubahatika kupata mtoto,hapo ikampelekea mzee Nyanseme kuoa mke wa pili,ili amletee watoto,hivyo mke mkubwa alikuwa mshirikina.
Seller | PRADOMUSICOFFICIAL |
---|---|
Producer | Melick Julius Nyanseme |
Language | Kiswahili |
Director | Melick Julius Nyanseme |
Writer | Melick Julius Nyanseme |
Stars | Melick Julius Nyanseme |
Duration | 11:19 |
Certificate Rating | 16 |
Movie year | 2024 |
Write Your Own Review