Kizazi cha Nyanseme (Sehemu ya Tatu) na Melick July
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplKIZAZI CHA NYANSEME(Sehemu ya tatu)
NYANSEME ni sinema yenye ujumbe wa kweli(True story)
Kizazi cha NYANSEME ni sinema yenye maudhui ya kweli ambayo inahusisha wake wawili walioolewa kwa mume mmoja,ambapo hawa wake wahakuwa wakipendana mpka kufikia mmoja kufanya mambo ya nguvu za giza ili huyu mmoja abaki peke yake na huyu mume wao Nyanseme.Nyanseme ni jina la huyu mume wa hawa wake wawili.
Seller | PRADOMUSICOFFICIAL |
---|---|
Producer | Melick Julius Nyanseme |
Language | Kiswahili |
Director | Melick Julius Nyanseme |
Writer | Melick Julius Nyanseme |
Stars | Melick Julius Nyanseme |
Duration | 11:23 |
Certificate Rating | 16 |
Movie year | 2024 |
Write Your Own Review