Maana Ya Upendo 01 na Mchg Richard Hananja
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplMaana Ya Upendo 01
Maana Ya Upendo 01
Mungu ana majibu ya maswali yetu yote (zaburi 20:1-5)( zaburi 46:1)changamoto zipo ila palipo Mungu yote yanawezekana msaada unapotoka patakatifu hakuna anayeweza kuuzuia,Mungu atakupa jibu kwa majira na wakati wake maisha haya ni hatua kwa hatua kwasababu Mungu anageweza kuumba dunia kwa siku moja lakini badala yake ameumba kwa siku 6 upo wakati na majira yake na kila kitu ni hatua.
Seller | HANANJA |
---|---|
Producer | Springplay |
Language | Swahili |
Director | Springplay |
Writer | Richard Hananja |
Stars | Richard Hananja |
Duration | 14:54 |
Certificate Rating | Uuu |
Movie year | 2024 |
Write Your Own Review