Maana ya Upendo 02 na Mchg Richard Hananja
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplMaana Ya Upendo 02
Maana Ya Upendo 02
Watu wengi wanatamani kufanana lakini Mungu ana amefanya kila mtu kwa nafasi yake, wapo wanaotaka uanguke lakini Mungu anakujalia kwa kadiri ya haja ya moyo wako na kuyatimiza mashauri yake.Tunaomba Mungu mipango yote tuliyonayo Mungu akaifanikishe na kustawisha yote na hakuna kufeli (warumi8:15,16,18 na 26) na piah (warumi 8: 28,31,37).
Seller | HANANJA |
---|---|
Producer | Springplay |
Language | Swahili |
Director | Springplay |
Writer | Richard Hananja |
Stars | Richard Hananja |
Duration | 17:32 |
Certificate Rating | Uuu |
Movie year | 2024 |
Write Your Own Review