Madhara ya kuishi mbali na familia by Rev Dr Enock E Mlyuka
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplMadhara ya kuishi mbali na familia by Rev Dr Enock E Mlyuka
Athari za kuishi mbali na familia
Madhara ya kuishi mbali na familia inaleta athari mbalimbali ambazo zitafanya ndoa yenu kuyumba au kupoteza dira kwenye mahusiano yenu. Athari hizo ni kama upendo kupungua, kuondoa joto la ndoa, matumizi ya pesa pia yanakuwa makubwa pia athari nyingine ni kwa watoto ambao hata kama ni watoto wa wakati huu lakini wanakuwa na wanaona namna wanavyoishi kwenye familia na wanakuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya familia yao na familia ya watu wengine na hivyo leta tofauti kwenye akili zao na ata kuchukia kabisa maisha yao
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or