Maombi Yenye Matokeo na Mchg. Allen A. Mbiso
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMaombi Yenye Matokeo na Mchg. Allen A. Mbiso
Kitabu hiki ni muhim kwa yeyote anayetaka kufanikiwa kuwa mwanafunzi na mfuasi bora wa Bwana Yesu Kristo. Ni maombi yangu kuwa unaposoma na kutafakari jumbe uliomo katika kitabu hiki, sauti ya Neno la Mungu ibadilishe maisha yako na kuwa kama Bwana Mungu alivyokusudia. Roho Mtakatifu akufunulie siri zilizomo katika maombi ili kuliishi kusudi la Mungu katika maisha yako. Karibu tujifunze pamoja namna ambavyo ushirika wa imani yetu unaweza kufanya kazi yake katika juzi wa kila kilicho chema ndani yetu katika Kristo Yesu.
Katika kitabu hiki pamoja na mambo mengine utajifunza:
- Mazingira ya kiroho ambayo unapaswa kuwa nayo ili kufanya maombi yenye matokeo (Kuomba katika Roho, Kuishi kwa Roho, Kuenenda kwa Roho, na Kuwa katika Roho).
- Namna ya kuomba maombi yenye matokeo.
- Maombi ya kuomba ili kupokea, maombi ya kutafuta ili kuona na maombi ya kubisha ili kufunguliwa.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|---|
Author | Mchg. Allen A. Mbiso |
Good Read | Yes |
Total Pages | 58 |
Publisher | SpringPlay |
Write Your Own Review