Masomo ya Kuukulia Wokovu na Mch. J. C. Kinyonyi
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMasomo ya Kuukulia Wokovu na Mch. J. C. Kinyonyi
Kitabu hiki kitakusaidia kwa sehemu kubwa katika kujua uthamaniwa wokovu, umuhimu na ubatizo, jinsi ya kujazwa Roho Mtakatifu, mambo yatakayoimarisha maisha ya wokovu wako, jinsi ya kuomba na jinsi ya kumtumikia Mungu. Pata maarifa haya na yatakusaidia katika utumushi wako na maisha yako.
Seller | MchKinyonyiBooks |
---|---|
Author | Mch. Jacob Christopher Kinyonyi |
Good Read | Yes |
Total Pages | 44 |
Publisher | SpringPlay |
Write Your Own Review