Mazingira Ya Biblia Agano Jipya
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplMazingira Ya Biblia Agano Jipya
Lengo la kusoma biblia ni kumjua Yesu kiundani. Hii inaweza kutusaidia kufanyika baraka kwa watu wengine.
Mazingira ya biblia kwenye agano jipya
1.Maisha ya agano jipya watu walijishughulisha na biashara, miji ilijengwa kwa uimara na kuimarisha ulinzi mkubwa sana, kibiblia punda ni alama ya unyenyekevu, pia ngamia walikuwa alama ghali sana na pia ni alama ya kumtambulisha mtu na pia ni alama ya uvumilivu.
2.Dini ni jamii ya kuabudu miungu mingi na walilazimishwa kutumia lugha ya kiunani katika kufanya biashara zao.
3.Tamaduni za dini ya kigiriki na kiunani ambayo ina maana ya miungu mingi.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or