Mazingira Ya Biblia Agano La Kale
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplMazingira Ya Biblia Agano Kale
Agano la kale linaelezea kuhusu Mungu alivyofikisha ujumbe wake kwa wanadamu kupitia manabii zake.
Kanisa ni watu wanaosafiri kutoka ulimwenguni kuja ndani ya Yesu kwahyo neno la Mungu ni chakula cha wasafiri.
Mpangilio wa vitabu Agano la kale.
1.Kitabu cha agano la kale kina vitabu 39 vilivyoandikwa kwa mfumo wa kiebrania, vimegawanyika sehemu kuu nne zifuatazo: vitabu vya sheria, historia, mashairi na manabii.
2.Agano hili linaelezea sheria na miongozo na taratibu za waisraeli pamoja na sadaka, pia kufanywa upya kwa waisraeli kabla ya kuingia nchi ya ahadi.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or