Mjue Mtumishi wa Kweli wa Mungu na Mch. J. C. Kinyonyi
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMjue Mtumishi wa Kweli wa Mungu na Mch. J. C. Kinyonyi
Kitabu hiki kitakusaidia kwa sekemu kubwa kujua mtumishi wa kweli wa Mungu na asiye wa kweli, maadili yake, mafundisho yake, imani yake, Roho inayotenda kazi ndani yake, wokovu wake, utumishi wake, uhusiano wake na Mungu, na chanzo cha watumishi wasio wa kweli kutokea, pata maarifa haya ili yakusaidie na kuwa halisi katika utumishi wako na maisha yako.
Seller | MchKinyonyiBooks |
---|---|
Author | Mch. Jacob Christopher Kinyonyi |
Good Read | Yes |
Total Pages | 79 |
Publisher | SpringPlay |
Write Your Own Review