Nafsi Iliyoumizwa na Mch. Dr. Enock M. Kagya
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplNafsi Iliyoumizwa na Mch. Dr. Enock M. Kagya
Kitabu Nafsi Iliyoumizwa Hutafuta Kulipiza Kisasi, kilicho andikwa na Mch. Dr. Enock M. Kagya, kinaangazia majeraha ya ndani yanayoathiri nafsi za watu kutokana na hali mbalimbali za maisha, hasa zile zinazoanzia tangu utotoni au wakati wa ujauzito. Kinaeleza jinsi majeraha haya yanavyoweza kusababisha tabia hasi kama hasira, chuki, na kisasi, na jinsi hali hizi zinavyoathiri mahusiano ya kifamilia na kijamii. Kitabu kinatoa mifano ya kweli ya maisha na kuelezea umuhimu wa msamaha, toba, na uponyaji wa nafsi kwa msaada wa kiroho. Pia kinatoa mwongozo wa jinsi ya kuachilia machungu na kuanzisha maisha mapya yaliyojaa amani, furaha, na upendo.
Seller | revdrenockmkagyabookstore |
---|---|
Author | Mch. Dr. Enock M. Kagya |
Good Read | Yes |
Total Pages | 109 |
Write Your Own Review