Ndoa ni ufundi.
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SpNdoa ni ufundi.
Hapa tunajifunza maisha ya ndoa kupitia story ya mwanamke huyu aliyeishi kwa furaha ndani ya ndoa yake kwa muda wa miaka miwili na baadae mambo kubadilika pasipo kujua nini chanzo.
Katika kitabu hiki cha Mwanamke ndoa ni ufundi nimejadili aina 10 za ufundi ambao mimi nimeuona na kwa kusaidiana na vyanzo (source) vingine kwamba mwanamke akizijua zitamsaidia kuifurahia ndoa yake lakini pia atatimiza kusudi la Mungu la yeye kuwepo kwenye hiyo ndoa. Ni maombi yangu unapoendelea kukisoma kitabu hiki umjue vizuri mumeo na umfurahie. Karibu fuatana na mimi .
Seller | ISAACBOOKSHOP |
---|---|
Author | Pastora Betty Challo. |
Total Pages | 80 |
Publisher | Truth Printing. |
Write Your Own Review