Nguvu ya sikukuu ya mavuno na Mchg Allen Mbiso

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplNguvu ya sikukuu ya mavuno

Nguvu ya sikukuu ya mavuno.

Links

Mpendwa msomaji,Hongera kwa kuamua kusoma kitabu hiki kitakusaidia;

>Kujua nguvu iliyopo katika sikukuu ya mavuno na sadaka zake katika maisha yako.

>Utajifunza sababu na namna ya kutoa kunakokubalika mbele za Mungu ili usipate hasara katika utoaji wako wa sadaka yeyote.Tofauti na toleo la awali wa kitabu hiki (2015), toleo hili la 2019 lina mabo yaliyoongezeka yatakayo kusaidia katika kuimarisha uhusiano wako na Mungu aliyekuumba 

>Karibu tujifunze pamoja kumwabudu Mungu kwa njia ya sadaka eneo linalogusa uchumi wetu.

More Information
Seller MBISOBOOKSSTORE
Author Rev Allen Adam Mbiso
Total Pages 55
Publisher Rev Allen Adam Mbiso
Write Your Own Review
You're reviewing:Nguvu ya sikukuu ya mavuno na Mchg Allen Mbiso
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.