Tambua Agano La Mafanikio 01

TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 01

Tambua Agano La Mafanikio 01

Tambua Agano La Mafanikio 01

Idadi kubwa ya mahitaji ya watu ni Fedha yaani mafanikio ya kimwili na kiroho lakini wanasahau kulifuata Agano la Bwana juu ya maisha yao.  

Hapa Isaka aliwaza kama baba yake Ibrahim akawaza kuhama na kwenda Misri ili aishinde njaa lakini Bwana akampa neno la Agano kwamba atambariki yaani atampa mafanikio yote ya mwili na roho kwa ajili ya baba ake Ibrahimu akiwa palepale alipo.  Kuna umuhimu wa kumsikiliza Mungu na kulitii Agano lake ili tuweze kuwa na mafanikio tunayoyahitaji.

More Information
Seller MBISOBOOKSSTORE
Write Your Own Review
You're reviewing:Tambua Agano La Mafanikio 01
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.