Tambua Agano La Mafanikio 02
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 02
Tambua Agano La Mafanikio 02
Mungu anatoa amelekezo ya kupanda mbegu pale popote ambapo atakuagiza,Mungu alimtoa isihaka nchi ya misri ambayo ilikuwa nchi yenye rutuba lakini akampa nchi ambayo haina rutuba Mungu alitaka Isihaka kuondoa tumaini lake popote bali aliweke kwa Mungu tu.Na tunahitaji baraka za Mungu Kuliko kitu chochote kwenye maisha haya,pesa ni kama hazina maana hazina yako ilipo ndipo moyo wako ulipo.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review