Tambua Agano La Mafanikio 03
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 03
Tambua Agano La Mafanikio 03
yohana 4 : 23,24
Huwezi Kumuabudu Mungu kama Mali na Fedha zako hazitahusika,Mungu anaweza akatoa neema ili ufanikiwe lazima uwe na kanuni za kibiblia unaweza ukapewa fromular flani na ukashindwa kutambua kama ni Mungu. Mungu anatusihi Tumaini letu liwe kwake.
Biblia haisemi uchukie fedha, inasema mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote na kwa mali zako zote shida ni pale unapozitegemea.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review