Tambua Agano La Mafanikio 04
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 04
Tambua Agano La Mafanikio 04
Kutambua na kushinda roho ya tamaa ya mali mathayo 6:24, huwezi kumtumikia Mungu na mali maanake ukitumikia mali na huo utakuwa utumwa Mugu anatumia mali kama mkono wa kukufanikisha wewe kumtumikia yeye.na matumizi yako yanategemea na kitu kilichopo moyoni lakini sio kilichopo kwenye account yako kama moyo una nidhamu basi na matumizi yatakuwa na nidhamu warumi 8:15.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review