Tambua Agano La Mafanikio 06
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 06
Tambua Agano La Mafanikio.
Tambua Agano La Mafanikio.
Msingi wa kwanza unasema kukataa roho ya tamaa ya mali na fedha. Biblia inasema huwezi kutumikia mabwana wawili maana yake yahuwezi kutumikia Bwana Mungu na fedha.
Mataifa wanahangaika wale nini wavae nini wamesahau kwamba kuna Yesu wanawaza fedha tu. Tambua uko salama kwa ajili ya Yesu anayekulinda na siyo fedha unazozitafuta.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review