Tambua Agano La Mafanikio 07
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 07
Tambua Agano La Mafanikio.
Tambua Agano La Mafanikio.
Hapa tunaangalia mlango wa mafanikio na mlango wenyewe ni injili (Warumi 1:16) injili inapokuja inakuja na mafanikio. Kama una fedha huna amani ni sawasawa na umaskini lakini ukimpokea Yesu anakubadilisha maana wokovu wake upo kila mahali.
Mungu alikuchagua na alichagua ulimwengu wake kwa ajili ya mafanikio yako na wengine (Mathayo 7:9-11).
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review