Tambua Agano La Mafanikio 08
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplTambua Agano La Mafanikio 08
Tambua Agano La Mafanikio 08
Tumeweka tegemeo kwa Mungu na awe hazina yetu na yesu akiwa tegemeo letu kila kitu kitatutumikia sisi na si vinginevyo, biblia inasema ni bora hekima kuliko madini ya thamani watu wa Mungu wanaweza kukopa lakini sio kawaida yao (zaburi 37:21 )na usipokuwa mwenye haki unakosa vitu vingi (warumi 13:8) tusiwe na madai ila kupendana na madeni yalianzia Edeni lakini Yesu yupo kutusaidia.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or