Tumeagizwa Kusamehe Na Caleb Mathias.
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplTumeagizwa Kusamehe By Caleb Mathias.
Tumeagizwa Kusamehe by Caleb Mathias.
Msamaha una nguvu kubwa ya kukusaidia kupiga hatua katika maisha yako ya kila siku, kwa sababu msamaha huleta uhuru. Kushindwa kusameheni kuendelea kuliweka tatizo lako na kujenga mazingira ya kutenda mabaya, tena ni rahisi kufanya ubaya kwa sababu umeshajijengea uadui ambao hatimaye utasababisha aibu. Si hivyo tu, unaposhindwa kumsamehe aliyekukosea, unakuwa umeshindwa kutoa funzo kwake na kwa sababu hiyo mtu huyo anaweza kuendelea kuwaudhi watu wengine kama alivyokuudhi wewe. Kumsamehe aliyekukosea kunaonyesha jinsi ulivyo na upendo thabiti.
Wanaojua faida za kusamehe na kwa jinsi hiyo wanajitengenezea mazingira ya kuwa na amani, furaha n.k.
Seller | CALEBBOOKSTORE |
---|---|
Author | Mwl : Caleb |
Total Pages | 121 |
Publisher | Kiza |
Write Your Own Review