Udhihirisho wa Roho Saba za Mungu Na Mchg Allen Adam Mbiso
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplUdhihirisho wa Roho saba za Mungu
Udhihirisho wa Roho saba za Mungu.
Mpendwa msomaji wa kitabu hiki, hongera kwa kuamua kusoma kitabu hiki. Maisha yako hayatabaki kama yalivyo bali utaongezeka katika elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo. Mafundisho yaliyomo katika kitabu hiki yamenisaidia sana katika maisha yangu ya imani na nimeona Bwana akilithibitisha Neno la lake kwa uweza na maajabu kila tulipojifunza habari za roho saba za Mungu.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|---|
Author | Rev. Allen Adam Mbiso |
Total Pages | 82 |
Publisher | Rev. Allen Adam Mbiso |
Write Your Own Review