Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 1-2
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 1-2
Kuna makundi mawili duniani kuna kundi la kumcha Mungu na kundi la wasiomcha Mungu. Tunapaswa kumtolea Mungu sadaka nzuri yenye kumpa Mungu utukufu.
Biblia ni ufunuo wa Mungu kwa njia ya kiroho na pia Mungu amejifunua kwetu kupitia eno lake tunapojifunza neno la Mungu linatupa uzima wa kiroho, katika biblia kuna aina tofauti za fasihi kama fasihi za kimaadili, utabiri, hekima, kishairi na kimafumbo
Kikanuni biblia ina vitabu 66 na imegawanyika sehemu mbili ambazo ni Agano la kale na Agano jipya
Ukatili wa kwanza ulivyoanza kuanzia vizazi vya Nuhu wakati wa garika: Tabia na maana za watoa sadaka zilikuwa na maana zaidi kuliko vitu walivyotoa uhuru na maamuzi ya Mungu haviojiwi.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or