Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 12
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 12
Mungu aliangalia moyo wa Ibrahimu hata wakatibwa kujaribiwa bado Ibrahimu alimuamini Mungu.
Maisha na wito wa Abrahamu.Mungu alimchagua Abrahamu kuwa lango la ukombozi kwa wanadamu.Mungu alimbariki Abrahamu kwa mifugo, mali na kumtumikia Mungu kupitia mali zake Mungu alikusudia kupitia Abrahamu litatokea taifa kubwa la kumjua na kumtumikia Mungu. Abrahamu alimuamini Mungu hata pale palipoonekana kibinadamu ni ngumu hata kipindi mkewe alichelewa kupata mtoto na Mungu kumwambia mtoto aliyempata uzeeni amtoe kama sadaka na bado alitii.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or