Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 13
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 13
Mgororowa kwanza wa kifamilia kati ya Ruth na Abrahamu yaani baba na mtoto aliyemlea.
Maisha na witi wa Abarahamu Mungu alimchagua Abrahamu kuwa lango la ukombozi kwa wanadamu, Mungu alimbariki Abrahamu kwa mifugo, mali na kumtumikia Mungu kupitia mali zake Mungu alikuaudia kupitia Abrahamu litatokea taifa kubwa la kumjua na kumtumikia Mungu. Abrahamu alimuamini Mungu hata pale palipoonekana kibinadamu ni ngumu hata kipindi mkewe alichelewa kupata mtoto na Mungu kumwambia mtoto aliyempata uzeeniamtoe kama sadaka na bado alitii.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or