Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 14
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 14
Abrahamu alikuwa mtoaji mzuri sana wa fungu la kumi ni kama desturi ya jamii yao kwa wakati huo.
Vita vya kwanza vya wafalme, ufalme mmoja kupigana na falme nyingine na ufalme ulioshindwa vita unalazimika kutumikia taifa lililoshinda.
1.Ruth alichagua eneo kwa uzuri lakini hakuchagua kwa usalama mwisho wa siku kupokonywa eneo lake.
2. Abrahahamu alijipanga kivita na pia aliwafundisha familia yake namna ya kukabiliana na mashambulizi.
3.Abrahamu alikuwa mtu wa kusamehe na kuachilia.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or