Ufafanuzi wa kitabu cha Mwanzo 15
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi wa kitabu cha Mwanzo 15
Ahadi ya Mungu kwa Abrahamu watu wote watapokea wokovu kupitia yeye.
1.Katika sura hii tunaangalia agano la Mungu kwa Abrahamu. Abrahamu hakufanikiwa kupata uzao aliweka imani ipo siku atapata mtoto kwa msingi huo Mungu alimwambia Abrahamu kutafuta wanyama ambao wanaweza kufanya nao maagano kisha nuru ya mwanga wa mwenge na moshi ulitokea kuonesha kwamba ni ishara ya uwepo wa Mungu.
2.Abrahamu alipokea jambo hilo kwa imani.
3.Ili kutimia kwa agano hili linahitaji uvumilivu na subira.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or