Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 16-17

TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 16-17

Agano alilolifanya Mungu ni kwamba yatatokea mataifa mengi na watu wengi hii ndiyo ahadi ya msingi iliyowekwa.

Links

1.Katika sura hizi mbili tutajifunza kuhusu kuzaliwa kwa Ishimael kufanywa na kuthibitishwa kwa agano. Jina Ishimael maana yake Mungu anasikia na uzao wake utakuwa na watu wenye ujasiri.

2.Mungu anarudia kufanya agano ambalo alilifnya na Abrahamu alimtokea na kumwambia mimi ni Mungu Mwenyezi uende mbele yangu ukawe mkamilifu nami nitafanya agano langu kati yangu mimi na wewe na uzao wako milele na hutoitwa tena Abrahamu bali Ibrahimu kwasababu unakwenda kuwa baba wa mataifa yote.

More Information
Seller MLYUKA BOOK STORE
Write Your Own Review
You're reviewing:Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 16-17
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.