Ufafanuzi wa Kitabu cha Mwanzo 2 by Rev Dr Enock E Mlyuka
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi wa Kitabu cha Mwanzo 2 by Rev Dr Enock E Mlyuka
Kuanzishwa kwa taasisi ya ndoa ni kusaidiana katika majukumu mbalimbali katika ndoa kila mmoja wao kutambua wajibu wake kwenye ndoa.
Somo hili linafundisha kuanzishwa kwa taasisi ya ndoa Bwana Mungu akasema si vyema mtu huyu aishi peke yake ntampa msaidizi wa kufanana naye mtu huyu ni Adamu aliletewa ubavu wake ambaye ni mwanamke aiitwaye Eva. Ndoa za jinsia mmoja ni batili kwake Mungu mwanamke aliumbwa kuwa mpenzi au mwenzi kwa mwanaume Mungu alikusudia mwanamke na mwanaume wasaidiane katika majukumu ya kwenye ndoa.
Kanuni tatu za ndoa ya kwanza ni kuacha, ya pili ni kuambatana, ya tatu kuwa mwili mmoja
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or