Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 4-5

TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 4-5

Kikanuni biblia ina vitabu 66 na imegawanyika sehemu mbili ambazo ni agano jipya na agano la kale.

Ufanunuzi wa kitabu cha Mwanzo 4-5 by Enock Mlyuka

Biblia ni ufunuo wa Mungu kwa njia ya kiroho, na pia Mungu amejifunuakwetu kupitia neno lake tunapojifunza neno la Mungu linatupa uzima wa kiroho, katika biblia kuna aina tofauti za fasihi kama fasihi za kimaadili, utabiri, hekima, kishairi, kimafumbo.

Kikanuni biblia ina vitabu 66 ambavyo ni agano la kale na agano jipya

Ukatili wqa kwanza ulivyoanza kuanzia vizazi vya Nuhu wakati wa garika: Tabia na maana za watoa sadaka zilikuwa na maana zaidi kuliko vitu walivyotoa uhuru na maamuzi ya Mungu haviojiwi.

More Information
Seller MLYUKA BOOK STORE
Write Your Own Review
You're reviewing:Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 4-5
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.