Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 6-11

TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplUfafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 6-11

Kikanuni Biblia na vitabu 66 na imegawanyika sehemu mbili Agano la kale na Agano jipya.

Ufafanuzi wa kitabu cha Mwanzo 6-11 by Enock Mlyuka

Biblia ni ufunuo wa Mungu kwa njia ya kiroho na pia Mungu amejifunua kwetu kupitia neno lake tunapojifunza neno la Mungu linatupa uzima wa kiroho. Katika biblia kuna aina tofauti za fasihi kama fasihi za kimaadili, utabiri, hekima, kishairi, kimafumbo. Kikanuni Biblia ina vitabu 66 na imegawanyika sehemu mbili ambazo ni Agano la kale na A gano jipya.

Ukatili wa kwanza ulivyoanza kuanzia vizazi vya Nuhu wakati wa garika: Tabia na maana za watoa sadaka zilikuwa na maana zaidi kuliko vitu walivyovitoa uhuru na maamuzi ya Mungu haviojiwi.

More Information
Seller MLYUKA BOOK STORE
Write Your Own Review
You're reviewing:Ufafanuzi Wa kitabu cha Mwanzo 6-11
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.