Ugaidi wa Umbea na Majungu na Mchg Dkt. Enock E. Mlyuka
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplUgaidi wa Umbea na Majungu na Mchg Dkt. Enock E. Mlyuka
Umbea na majungu wivu, husda, na chuki hutokea kwa kutothamini wala kujali kazi za wengine katika jamii.
Umbea na majungu ni ugaidi unaoweza kujeruhi watu wengi katika familia na jamii kwa ujumla, umbea na majungu pia ni kupoteza imani na upendo kwetu na kwa watu wengine, huvunja uhusiano baina ya watu na marafiki lakini pia husambaratisha mahusiano ya familia na jamii.
Seller | MLYUKA BOOK STORE |
---|
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or