Umuhimu Wa Mafanikio Katika Kristo Yesu na Rev: Allen Mbisso
TZS 1,000.00
In stock
SKU
SplUmuhimu Wa Mafanikio Katika Kristo Yesu na Rev: Allen Mbisso
Umuhimu Wa Mafanikio Katika Kristo Yesu.
Ukitaka kuongezeka kwa jambo lolote lazima kuwe na mapambano na sio mapambano ya kimwili bali ni ya kiroho,vita pia inaanza kwenye fikra hivyo fikra zako zimjue Mungu Sanaa. Mungu asipokuzidisha atakuwa hajatimiza ahadi yake, hakuna mtu ambaye ameitwa kumtumikia Mungu alafu atumike bila maisha yake kuhusika.
Seller | MBISOBOOKSSTORE |
---|
Write Your Own Review