Baba Ni Lango BY DR. MLYUKA

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplBaba Ni Langio BY DR. MLYUKA
Baba Ni Lango BY DR. MLYUKA

Wanasaikolojia wanasema kwamba, zaidi ya 60% ya mtu yeyote alivyo leo ni matokeo ya malezi na makuzi wakati wa utoto. Malezi ni mchakato unaoanza tangu kutungwa kwa mimba, kuzaliwa kwa mtoto hadi kukua kwake.

Mchakato huu huendelea katika hatua zote za mtoto.

Hivyo, tabia alizonazo mtu anaweza kuwa amezaliwa nazo au amejifunza. Kwa maneno mengine tunaweza kusema kwamba, tabia ni suala la kurithi, kuzaliwa na mazingira aliyopitia mtu katika kukua kwake (nurture and nature), ambapo msingi wake ni familia. Tafakuri ya Baraza la maaskofu Wakatoliki wa Tanzania kupitia ujumbe wao wa Kwaresma wa mwaka 2010 inasema kwamba ´ familia ni kitovu cha malezi na chanzo cha uhai mpya wa binadamu. Ni kituo cha kwanza ambamo mtu anaweza kupata maendeleo ya kiroho, kimaadili na 

Malezi ni uwekezaji, utumishi na wajibu usio na likizo. Ni wajibu na utumishi unaohitaji mshikamano wa baba na mama katika familia. Kina baba wana hadhi kubwa ya kijamii na kifamilia.

wasio na wenza (single mothers) na mfumo mpya wa maisha wa watoto kutunzwa na kulelewa na mama zaidi kuliko baba unaleta maswali mengi kuhusu nafasi na umuhimu wa baba katika familia na jamii. Utafiti unaonesha kwamba watoto waliozaliwa katika familia

More Information
Seller MLYUKA BOOK STORE
Author Rev: Enock Emmanuel Mlyuka
Total Pages 172
Publisher Rev: Enock E Mlyuka
Write Your Own Review
You're reviewing:Baba Ni Lango BY DR. MLYUKA
Your Rating
Copyright © 2023 - 2024 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All rights reserved.