Vyanzo vya matatizo katika ndoa sehemu ya kwanza
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplVyanzo vya matatizo katika ndoa sehemu ya kwanza.
Vyanzo vya matatizo katika ndoa.
Somo hili linahusu vyanzo vya matatizo katika ndoa.
Katika sehemu hii ya kwanza chanzo kinachosababisha ndoa nyingi ziwe na matatizo ni kutokujitambua katika nafasi yako kama mwanandoa unatakiwa kujitambua wewe ni nani kwenye ndoa kila mtu asimame kwenye nafasi yake, ukisoma katika kitabu ya (waefeso 5:22-25) nalo linasema enyi wake watiini waume zenu maana wao ni kichwa kama alivyo Kristu, enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristu alivyojitoa kulipenda kanisa lake.
Seller | Mlimawamabadilikoministry |
---|
Write Your Own Review