Vyanzo vya matatizo katika ndoa sehemu ya tatu.
TZS 3,000.00
In stock
SKU
SplVyanzo vya matatizo katika ndoa sehemu ya tatu.
Vyanzo vya matatizo katika ndoa.
Vyanzo vya matatizo katika ndoa.
Chanzo kinachosababisha migogoro na ndoa nyingi kuvunjika ni watu kutokutumia vinywa vyao vizuri (Yakobo sura ya 3) ladha ya ndoa inaondoka kwa sababu ya matumizi mabaya ya ulimi wanandoa wamekuwa wakipeana maneno magumu sana kama vile matusi. Siku hizi watu hawaishi kwenye ndoa kwa kupendana wanaishi kwa sheria. Ndoa inaweza kujengwa na kubomolewa na kinywa hivyo basi tunapaswa kutumia vizuri ndimi zetu ili kuwe na heshima kati ya mwanaume na mwanamke kwenye ndoa.
Seller | Mlimawamabadilikoministry |
---|
Write Your Own Review