Yesu unipendaye
TZS 2,000.00
In stock
SKU
SplYesu unipendaye
Mungu aliuliza nimtume nani aende duniani kuokoa watu,Yesu alisema nitume mimi Bwana,asante Yesu kwa upendo wako kwetu
Yesu unipendaye kwako nakimbilia,upendo wa Yesu ni mkubwa sana kwetu,kwa maana hakuna mtu angeweza kujitoa nafsi yake kwa ajili ya mtu mwingine,lakini Bwana Yesu aliweza,yatupasa kufuata upendo wake
Seller | Esaumusiccreater |
---|---|
Singer | Esau Eldad |
Duration | 7:50 |
Production Name | Yesu unipendaye |
Write Your Own Review