Yona
TZS 600.00
In stock
SKU
SplYona
Mungu akikupa cha kufanya lazima ahakikishe unatimiza na atahakikisha anasimamia hilo mpaka lina kamilika.
Yona ni miongoni mwa wanafunzi walioaminika na kupewa amri na Mungu waende kwenye mji wa ninawi, lakini alikiuka maagizo ya Mungu na kuamua kufanya yale anayotaka yeye mwenyewe kufanya lakini Mungu alihakikisha mpaka yona anafanya matakwa yake.
Seller | PROPHETPETERMUSIC |
---|---|
Singer | Prophet Peter |
Duration | 06:30 |
Production Name | Daddy one tach |
Write Your Own Review